TAKRIBANI WATANZANIA 620,000 WANA ULEMAVU WA KUTOONA NCHINI

Na Moreen Rojas Dodoma Inakadiriwa kuwa Watanzania takribani 620,000 wana ulemavu wa macho nchini ikiwa ni sawa na asilimia moja ya watu kwenye nchi zinazoendelea na za uchumi wa kati kwa mujibu wa makadirio na takwimu za Shirika la A fya Duniani (WHO). Hayo yamesemwa na Bi. Ziada Sellah kwa niaba ya Katibu Mkuu wa